1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.06.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S21 Juni 2018

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amesema leo kwamba mataifa ya Umoja wa Ulaya yana wasi wasi kuhusiana na mpango wa makombora wa Iran na kutoa wito wa kupatikana suluhisho la vitendo vya uchokozi wa Iran katika mashariki ya kati

https://p.dw.com/p/302Uh