1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.04.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S21 Aprili 2017

Jana usiku afisa mmoja wa polisi aliuliwa na wengine wawili kujeruhiwa na mtu mmoja aliyewashambulia kwa risasi katika mji mkuu Paris, Ufaransa// Polisi ya Ujerumani imemtia mbaroni mwanamme Mjerumani mwenye asili ya Urusi, anayeshukiwa kufanya mashambulizi dhidi ya basi lililokuwa likiwasafirisha wachezaji wa klabu ya Borussia Dortmund wiki iliyopita.

https://p.dw.com/p/2bg40