1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.02.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Februari 2018

Ndege za kivita za Syria zimefanya mashambulizi mapya Mashariki mwa Ghouta/ Ndege za kivita za Israeli zimeshambulia upya ukanda wa Gaza baada ya tukio la wapalestina kufyetua roketi kuelekea Kusini mwa Israel kwa mujibu wa duru za jeshi/ Tanzania: Kisa cha kuuwawa kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu katika maandamano ya kabla ya uchaguzi mdogo > Mahojiano/ Waziri mkuu wa Ethiopia amejiuzulu> Uchambuzi

https://p.dw.com/p/2swSf