1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.01.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S19 Januari 2017

Kulikuwa na msisimuko mkubwa sana barani Afrika wakati Brack Obama alipochaguliwa Rais wa Marekani mwaka 2008//Human Rights Watch- Wahamiaji na wakimbizi wenye ulemavu wamekuwa hawatambuliwi ipasavyo nchini Ugiriki// Takriban kampuni 40 kubwa duniani zimependekeza kuanzisha mpango utakaozingatia njia bora za kutunza mazingira kutokana na matumizi ya plastiki.

https://p.dw.com/p/2W21N