Tume ya uchaguzi ya Nigeria imemtangaza rais aliyeko madarakani Goodluck Jonathan kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika Jumamosi iliyopita .