1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

18.05.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S18 Mei 2017

Serikali ya Kenya inapaswa kuwalinda wanasiasa wanawake dhidi ya unyanyasaji, vipigo na vitisho wakati huu ambapo taifa hilo linaelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti// Rais Donald Trump anaendelea kukabiliwa na utata na kuzungukwa na kashfa mbalimbali// Wahamiaji wanatuma fedha nyingi zaidi katika nchi wanakotokea,kupita hata misaada ya maendeleo.

https://p.dw.com/p/2d9F0