1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.11.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S17 Novemba 2016

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, ''kiongozi wa dunia huru''// Zaidi ya watu milioni 20 barani Afrika wanaugua ugonjwa wa kisukari na idadi hiyo inakadiriwa kuongezeka hadi milioni 46 ifikapo mwaka 2040// Imani ya wafanyabiashara wakubwa kwa mitandao ya kijamii inazidi kuongezeka// Wakimbizi wengi kutoka Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kutoka nchi zingine wanaishi nchini Uganda.

https://p.dw.com/p/2SoGN