1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.10.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S17 Oktoba 2016

Waziri mkuu wa Iraq Haider Al-Abadi ametangaza kuanza kwa operesheni iliyosubiriwa ya kuukomboa mji wa Mosul// Vyama vinavyounda muungano tawala Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na vyama vyengine vidogo vimekubaliana kuchelewesha uchaguzi wa mwezi ujao hadi Aprili mwaka 2018// Mawaziri wa ulinzi na wakuu wa majeshi ya nchi za Kanda ya Maziwa Makuu wamemaliza mkutano wao mjini Kinshasa.

https://p.dw.com/p/2RJDt