1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

17.03.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S17 Machi 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel anaelekea nchini Marekani Jumanne kukutana na rais Donald Trump// China na Saudi Arabia zimesaini mikataba yenye thamani ya mabilioni ya dola wakati Mfalme Salman wa Saudi Arabia mwenye umri wa miaka 81 akiwa ziarani nchini China//Zanzibar hatimaye imepata uanachama kamili katika shirikisho la soka barani Afrika, CAF.

https://p.dw.com/p/2ZMPn