1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.12.2016 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S16 Desemba 2016

Waasi wa Syria awali walikuwa na ndoto ya kuuondoa madarakani utawala wa Rais Bashar al-Assad na kuidhibiti nchi hiyo lakini hatua ya hivi karibuni ya waasi kupokonywa udhibiti wa mji wa Aleppo inaonyesha ni pigo kubwa// Serikali ya Ujerumani kupitia wizara yake ya mambo ya nje, imetoa msaada wa vifaa vya matumizi ya nyumbani pamoja na kuwajengea nyumba mia tatu wakazi wa kijiji cha Buleusa.

https://p.dw.com/p/2UMuC