1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.11.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S16 Novemba 2017

unaanza uchambuzi wetu nchini Zimbabwe ambako wanajeshi walitangaza usiku wa kumkia jana kuwa wamechukua hatamu na kumuweka rais Robert Mugabe na Mkewe kwenye kizuizi cha Nyumbani// Viongozi wa dunia walikuwa mjini Bonn hapo jana kuyapiga jeki mazungumzo ya mabadiliko ya tabianchi ambayo yalionekana kugubikwa na hatua ya Donald Trump kutangaza kuwa anaiondoa Marekani katika makubaliano ya Paris.

https://p.dw.com/p/2nisy