1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.12.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S15 Desemba 2017

Viongozi wa mataifa ya Ulaya ya Mashariki wameendelea kukaidi mpango wa mgawanyo wa idadi ya wakimbizi ambao unaungwa mkono na mataifa ya Umoja wa Ulaya// Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya-NASA, unapanga kurejea katika ulingo wa siasa kwa nguvu zaidi// Kansela wa Ujerumani ametangazwa mshindi wa tuzo ya kimataifa ya kupigania usawa wa kijinsia iliyoanzishwa na serikali ya Finland.

https://p.dw.com/p/2pSNG