1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.11.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S15 Novemba 2017

Jeshi laingilia kati Zimbabwe ambako hali inatatanisha/ Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo: Maandamano/ Ripoti ya Muungano wa watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya: Visa 42 vya unyanyasaji, vitisho na watu kufurushwa makwao kwa nguvu viliripotiwa dhidi ya wanaharakati, waangalizi wa uchaguzi, wanahabari/ Viongozi kadhaa wa dunia wanawasili mjini Bonn kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa mazingira

https://p.dw.com/p/2nf8M