1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.09.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S15 Septemba 2017

Ujerumani ikiwa na wajibu muhimu katika siasa za ulimwengu, sera ya kigeni na usalama duniani ni masuala makuu kuelekea katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa tarehe 24 mwezi huu// Macho na masikio ya viongozi na wanadiplomasia duniani kote yataelekezwa kwa Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa ni mara yake ya kwanza kuhutubia kama kiongozi katika Kikao cha 72 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.

https://p.dw.com/p/2k1pc