Waasi nchini Libya sasa wasitisha kwa sasa mpango wa kusonga mbele kuelekea Tripoli na badala yake kugeuza mapambano katika mji wa mafuta wa Brega.