1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

15.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S15 Machi 2017

Wakati uchaguzi wa bunge nchini Uholanzi ukitarajiwa kukamilika saa tatu usiku wa leo, Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mark Rutte wa chama cha VVD ametajwa kuwa mbele// Milipuko kadhaa imetokea katika mji mkuu wa Syria Damascus leo huku vita vya Syria leo vikiingia mwaka wa saba// Rais Uhuru Kenyatta ametoa wito wa kupunguzwa kwa mishahara ya wabunge na maafisa wakuu serikalini.

https://p.dw.com/p/2ZFH1