1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.10.2016 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S14 Oktoba 2016

Baada ya kisa cha kujinyonga Jaber al-Bakr katika jela polisi na wanasiasa wanajikuta wakizidi kutiwa vishindo// Buhari amesema hii leo kuwa serikali yake itaendelea kutafuta njia za kuwakomboa wasichana wa Chibok// Kikao cha viongozi waandamizi kutoka nchi 197 za ulimwengu kinachoendelea mjini Kigali Rwanda juu ya mabadiliko ya tabia nchi kinatazamiwa kukamilishwa baadaye jioni hii.

https://p.dw.com/p/2RFVI