1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.09.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S14 Septemba 2017

Hali ya kisaisa nchini Kenya bado ni ya vuta nikuvute// Tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa inaelezea kwamba visa vya ukiukaji wa haki za binadamu vikiwemo mauwaji na kubanwa kwa uhuru wa kujieleza vimeongezeka nchini DRC siku za hivi karibuni// Mahakama nchini Tanzania imemuachia huru mfanyabiashara maarufu Yusuf Manji.

https://p.dw.com/p/2k02G