1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.04.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Aprili 2017

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema kuwa limefanikiwa kuwashughulikia watu wanne ambao wamehusika katika mauaji ya askari polisi yaliyofanyika jana mkoani Pwani ambapo jumla ya askari nane waliuawa na kundi la majambazi// Jamhuri ya umma wa China inatoa wito wa kuepusha balaa la kuuona mvutano kuhusu Korea ya kaskazini unafikia kiwango kisichoweza kubadilika na kisicho kadirika.

https://p.dw.com/p/2bFl4