1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S14 Machi 2017

Uturuki imeukosoa Umoja wa Ulaya kwa kuiunga mkono Uholanzi katika mzozo wa kidiplomasia// Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May leo anatarajiwa kutoa kauli nzito katika bunge la nchi hiyo ikiwa ni saa chache baada ya wabunge wa nchi hiyo kupitia mabunge yote mawili kuunga mkono hatua ya Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama Brexit.

https://p.dw.com/p/2Z8N4