1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

14.02.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S14 Februari 2017

Ujerumani-Merkel amependekeza kutoa fedha na vivutio vya elimu kwa watunisia watakaokuwa tayari kurudi kwa khiyari nchini mwao// Mgombea kiti cha rais wa Ufaransa kwa tikiti ya chama cha kihafidhina Les Republicains, Francois Fillon anatiwa kishindo na kundi la wabunge 40 wa chama chake// DR Congo-Zoezi la kuwaandikisha wapiga kura linaendelea katika mkoa wa KIVU ya Kaskazini.

https://p.dw.com/p/2XYRl