1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.12.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S13 Desemba 2017

Rais wa mamlaka ya ndani ya Palestina Mahmud Abbas amesema Wapalestina hawatakubali Marekani kuwa na jukumu lolote katika mchakato wa kutafuta amani katika Mzozo wa Mashariki ya Kati kwasababu Marekani inaipendelea Israel// Nchini Marekani, mwanasiasa wa chama cha Democratic nchini Marekani Doug (DAG) Jones, ameshinda katika kinyanganyiro cha kuwania kiti cha useneta katika jimbo la Alabama.

https://p.dw.com/p/2pHfC