1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.12.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S13 Desemba 2017

Mwishoni mwa mwezi Oktoba, Rais Donald Trump wa Marekani, aliondoa marufuku ya muda iliyokuwa imewekwa dhidi ya wakimbizi wanaoomba ruhusa ya kuingia nchini humo// Miili ya walinda amani Watanzania wa Umoja wa Mataifa waliouawa wiki iliyopita Katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo imerejeshwa nyumbani na huku uchunguzi wa shambulizi hilo kali ukiendelea - ni nani anayestahili kulaumiwa?

https://p.dw.com/p/2pGAU