1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.12.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S13 Desemba 2016

Vikosi vya jeshi la Syria vimeuchukua tena mji wa pili kwa ukubwa nchini Syria wa Aleppo// Ujumbe wa Umoja wa Afrika, uko ziarani nchini Gambia, kwa lengo la kumshawishi Rais Yahya Jammeh akubali kuwa alishindwa katika uchaguzi wa Disemba Mosi// Shirika la afya duniani WHO limetoa ripoti yake ya mwaka kuhusu ugonjwa wa Malaria.

https://p.dw.com/p/2UBtZ