1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.10.2017 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S13 Oktoba 2017

Maandamano nchini Kenya yaendelea// Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kuchukua hatua kubwa kuupinga mpango wa kimataifa wa nyuklia wa Iran// Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu elimu sayansi na utamaduni UNESCO, litamchagua kiongozi mpya leo.

https://p.dw.com/p/2lo7t