1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

13.03.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S13 Machi 2017

Denmark imeungana na nchi kadhaa kuzuia juhudi za Uturuki kufanya kampeni kwenye nchi za Ulaya// Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwahudumia watoto UNICEF, limesema mamia ya watoto wameuawa nchini Syria kwa mwaka 2016// Na Urusi, Uturuki na Iran zinashinikiza kuendelea kwa awamu mpya ya mazungumzo ya amani ya Syria nchini Kazakhstan.

https://p.dw.com/p/2Z5Zn