1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.11.2017: Matangazo ya Mchana

Lilian Mtono
12 Novemba 2017

Iran yakataa ombi la mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia, waandamana kupinga ziara ya Rais wa Marekani, Donald Trump nchini ufilipino na Waziri mkuu wa Uhispania, Mariano Rajoy azuru kwa mara ya kwanza Barcelona, tangu alipotangaza utawala wa moja kwa moja katika jimbo la Catalonia.

https://p.dw.com/p/2nU7r