1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.10.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S12 Oktoba 2017

Vyama viwili vya Palestina ambavyo vimekuwa katika mvutano na uhasama kwa kipindi cha muongo mmoja sasa, hatimaye vimefikia makubaliano ya amani, kufuatia mazungumzo ya kutafuta maridhiano na mshikamano// Baadhi ya mashirika ya kijamii yanaonya kuwa Kenya huenda inarejelea uongozi wa kidikteta kufuatia kile wanachokiita kugandamizwa kwa taasisi muhimu na serikali ya Jubilee.

https://p.dw.com/p/2ljNL