1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

12.05.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S12 Mei 2017

Viongozi wa nchi saba zilizoendelea kiuchumi na kiviwanda duniani G7 wakuwa na msimamo wa pamoja kuhusu biashara, sarafu na sera za kifedha mwishoni mwa mkutano wa mawaziri wa fedha wa nchi hizo unaomalizika kesho Jumamosi// Makamu rais wa China anamaliza leo ziara ya siku 3 nchini Burundi alikoahidi kupiga jeki bajeti ya serikali ya taifa hilo lililokumbwa na mzozo mkubwa kabisa wa kisiasa.

https://p.dw.com/p/2ctVd