1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.11.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S11 Novemba 2016

Rais mteule wa Marekani Donald Trump na Rais wa sasa Barack Obama walikutana katika Ikulu ya Marekani White House// Ubalozi mdogo wa Ujerumani uliopo kwenye mji wa Mazar-i-Sharif, Kaskazini mwa Afghanistanwa washambuliwa na mabomu// Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma kwa mara nyingine tena amenusurika kura ya kutokuwa na imani nae.

https://p.dw.com/p/2SXwB