1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

11.04.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S11 Aprili 2017

Aprili 16 Waturuki watapiga kura ya maoni, kuhusu kubadilisha katiba ya nchi na kumpatia madaraka zaidi rais wa nchi hiyo au la. Kura hiyo ya maoni imeleta mpasuko ndani na nje ya Uturuki// Eneo la kaskazini magharibi mwa Kenya ni mojawapo ya maeneo yalioathirika sana na ukame// Wanawake wanaogombea viti vya kisiasa katika chaguzi nchini Kenya hupitia dhulma na ukandamizaji.

https://p.dw.com/p/2b1ky