Deutsche Welle: Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wakataa kuyatambaua matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Joseph Kabila kuwa mshindi wa kiti cha urais.
Karibu raia 15 wameuawa katika mashambulizi ya mwishoni mwa wiki hii katika mji wa Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa Rwanda amekubali kukutana na mwenzake wa Kongo ili kujadili hali ya usalama katika eneo lenye hali tete Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Waendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitolea wito mahakama ya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo, kutoa hukumu ya kifo kwa askari 11 wanaotuhumiwa kwa makosa ya "woga" na "kumkimbia adui".