1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.05.2017 Matngazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Mei 2017

Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Ursula von der Leyen ataanzisha mageuzi katika jeshi la nchi hiyo, kufuatia ugunduzi wa mienendo ya kushabikia unazi miongoni mwa wanajesh// Rais wa Marekani Donald Trump jana amemfuta kazi Mkurugenzi wa shirika la upelelezi la Marekani FBI James Comey// Uturuki imepinga vikali uamuzi wa Marekani wa kutaka kuwapa silaha wapiganaji wa kundi la Kikurdi.

https://p.dw.com/p/2clEA