1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.05.2017 Matngazo ya Asubuhi

TSA / S08S10 Mei 2017

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma leo anaanza ziara ya siku tatu nchini Tanzania akiwa amembatana na ujumbe wa wafanyabiashara 80 na wamawaziri wake sita// Mvua kubwa zimeendelea kunyesha katika pwani ya Afrika Mashariki na hata kusababisha vifo na hasara nyingi//Marekani na wengine wanahitimisha msako wao wa kimatifa dhidi yake na kundi lake la LRA.

https://p.dw.com/p/2cifZ