1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S10 Machi 2017

Rais Tayyip Erdogan wa Uturuki yuko ziarani nchini Urusi kuzungumzia masuala ya Syria// Jaroslaw Kaczynski hakuweza kuzuwia kuchaguliwa tena rais wa baraza la Ulaya Donald Tusk// Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari amerejea nyumbani hii leo kutoka Uingereza ambako alikwenda kwa matibabu// Maandalizi kwa ajili ya kikao cha halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yanaendelea huko mjini Dodoma.

https://p.dw.com/p/2YywV