1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

10.02.2018 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
10 Februari 2018

Kiongozi wa SPD Martin Schulz, amesema hatochukua wadhifa wa uwaziri katika serikali mpya ya Ujerumani, kufuatia shinikizo kutoka ndani ya chama // Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linatafakari kuhusu rasimu ya azimio la kusitisha mapigano kwa siku 30 nchini Syria // Jeshi la Misri limetangaza kuanzisha operesheni mpya dhidi ya wapiganaji wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu - IS

https://p.dw.com/p/2sR9P