1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.12.2016 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S9 Desemba 2016

Leo ni miaka 55 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika. Maadhimisho ya mwaka huu yanafanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, ambapo Rais John Magufuli amekagua gwaride maalum// Mgomo wa madaktari wa hospitali za umma nchini Kenya umeingia siku ya tano hii leo// Ghana ingali bado imegubikwa na wasiwasi, wakati raia wake wakisubiri kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais.

https://p.dw.com/p/2U0uK