1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.06.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Juni 2017

Waziri mkuu wa Uingereza Theresa May amesema atabakia madarakani na kuunda serikali, baada ya uchaguzi mkuu hapo jana ambapo chama chake cha Conservative kilipoteza wingi wake bungeni.// Nchini Tanzania, hali bado sio shwari katika maeneo ya wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga na hasa kutoka na muendelezo wa matukio ya mauwaji huku kukiambatana na operesheni kali ya jeshi la polisi.

https://p.dw.com/p/2eQal