1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.02.2018 Taarifa ya habari asubuhi

Bruce Amani
9 Februari 2018

Waziri anayeondoka wa Mambo ya Kigeni wa Ujerumani Sigmar Gabriel amemkosoa vikali mrithi wake Martin Schulz kwa kukosa kutimiza ahadi // Wapiganaji wa kikurdi nchini Syria wamewakamata wanamgambo wawili wa Uingereza wa kundi la IS // Na Ethiopia yawaachilia huru wafungwa 746, akiwemo mwandishi wa habari na mwanasiasa wa upinzani

https://p.dw.com/p/2sNsK