1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.02.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S9 Februari 2017

Operesheni inayoendeshwa na serikali ya Tanzania kupitia mkoa wa Daresalaam ya kupambana dhidi ya watumiaji na wasambazaji wa madawa ya kulevya inazidi kupamba moto// Serikali ya Tanzania inazingatia uwezekano wa kuchukua hatua za kisheria kulilazimisha koloni la zamani-Ujerumani ilipe fidia kwa maovu yaliyofanywa karne moja iliyopita.

https://p.dw.com/p/2XGQM