Kikosi cha kwanza mwaka huu cha kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani Joachim Loew kupambana na Italia leo katika mechi ya kirafiki mjini Dortmund.