1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

09.01.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S9 Januari 2017

Vikosi maalum vya jeshi la Iraq vinavyopambana na kundi linalojiita Dola la kislamu IS vimeufikia ukingo wa mashariki katika Mto Tigris mjini Mosul// Serikali ya Iran imetangaza siku tatu za maombelezo ya kitaifa kufuatia kifo cha rais wa zamani wa nchi hiyo Akbar Hasehmi Rafsanjani// Hali ya baridi kali imeathiri maeneo mengi katika bara Ulaya.

https://p.dw.com/p/2VVjN