Wachezaji wa timu ya kulipwa ya mpira wa magongo katika barafu nchini Urusi wote wamekufa katika ajali ya ndege iliyotokea jana huko Urusi
Iran yaashiria haina mpango wa kujibu shambulizi la Israel-ripoti+++Israel yasema imeruhusu msaada zaidi kuingia Gaza+++Chad yaitaka Marekani kusitisha shughuli zake za kijeshi nchini humo
Afisa wa ngazi ya juu wa Iran amesema kuwa nchi hiyo haina mpango wa kulipiza kisasi kwa kile kinachoelezwa na vyanzo vya habari kuwa shambulizi la Israel katika mji wa Isfahan usiku wa kuamkia Ijumaa.
Israel imearifu kuongeza juhudi za kuingiza misaada ya kiutu kwa wakaazi wa Gaza ambapo malori 276 yaliyobeba chakula na dawa yaliwasili Ukanda wa Gaza, mamlaka inayohusika na mawasiliano na Wapalestina, COGAT, imesema.