1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.06.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S8 Juni 2017

Wapiga kura nchini Uingereza wanapiga kura leo hii katika uchaguzi uloitishwa kwa haraka na Waziri Mkuu Theresa May// Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Usalama la Marekani FBI, James Comey, leo atasimama mbele ya Baraza la Congress// Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya-NASA, umezindua kikundi cha wanachama 15 watakaoongoza kampeini zao miezi miwili kabla ya uchaguzi mkuu.

https://p.dw.com/p/2eJw8