Ujerumani iimeilaza Azerbaijan mabao 3-1 mjini Baku, katika mechi ya kuwania kufuzu kwa ajili ya michuano ya kuwania kombe la Ulaya 2012.