1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.03.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S8 Machi 2017

Wakati mgogoro wa kidiplomasia ukiendelea kati ya Ujerumani na Uturuki kuelekea kura ya maoni nchini Uturuki, idara ya uchunguzi wa dani ya Ujerimani BfV imeripoti kuongezeka kwa vitendo vya kijasusi vya Uturuki nchini Ujerumani// Mkuu wa Baraza la Haki za Binaadamu la Umoja wa Mataifa amemkosoa vikali Rais Donald Trump wa Marekani akisema nchi hiyo ilitakiwa kuwa na uongozi bora zaidi.

https://p.dw.com/p/2Yqnn