1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

08.01.2018 Matangazo ya jioni

SK2 / S02S8 Januari 2018

Maandamano ambayo yameitikisa Iran hayakulenga tu uchumi, amesema rais Hassan Rourani leo// Kiongozi mpya wa chama tawaa nchini Afrika Kusini ANC Cyril Ramaphosa ahimiza umoja ndani ya chama hicho// Maafisa wa kupambana na rushwa wanamchunguza Grace Mugabe, mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Robert Mugabe kufuatia ardhi aliyojipatia katika mazingira ya utata.

https://p.dw.com/p/2qWgY