Deutsche Welle: Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeahirisha utangazaji wa matokeo ya uchaguzi hadi Alhamis, huku usalama ukiimarishwa.
Karibu raia 15 wameuawa katika mashambulizi ya mwishoni mwa wiki hii katika mji wa Beni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais wa Rwanda amekubali kukutana na mwenzake wa Kongo ili kujadili hali ya usalama katika eneo lenye hali tete Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Waendesha mashtaka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wameitolea wito mahakama ya kijeshi mashariki mwa nchi hiyo, kutoa hukumu ya kifo kwa askari 11 wanaotuhumiwa kwa makosa ya "woga" na "kumkimbia adui".