1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.12.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S6 Desemba 2017

Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani, Sigmar Gabriel ameionya Marekani juu ya hatari ya kuhamisha ubalozi wa Marekani kutoka Tel Aviv na kuupeleka Jerusalem// Katika harakati za kukabiliana na ukwepaji kulipa kodi duniani, Umoja wa Ulaya umeziorodhesha nchi 17 zilizo nje ya Umoja huo na kuzitaja kama nchi zinazotoa nafasi ya uhalifu huo kufanyika.

https://p.dw.com/p/2orTW