1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

06.10.2017 Matangazo ya asubuhi

TSA / S08S6 Oktoba 2017

Mshindi wa tuzo ya Amani ya Nobel mwaka wa 2017 anatarajiwa kutangazwa hii leo// Baada ya mihula miwili madarakani,rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf atakaabidhi madaraka mwaka 2018// Wakaazi asilia wanaokabiliwa na kitisho kutoka kwa makampuni yanayotaka kuendeleza ardhi zao kwa ajili ya miradi ya kilimo, uchimbaji madini na nishati, watasaidiwa kifedha na kivitendo.

https://p.dw.com/p/2lK2M